Latest Episodes
25

SURA YA 20-1. Joka Atafungwa Katika Shimo la Kuzimu Lisilo na Mwisho (Ufunuo 20:1-15)
Bwana Mungu wetu atawapatia watakatifu thawabu ya Ufalme wa Kristo kwa miaka elfu moja, atafanya hivyo kuwafidia kwa kazi waliyoifanya kwa ajili ya injili....
26

SURA YA 20-2. Tutawezaje Kupita Toka Mautini Kwenda Uzimani?
Mungu anatueleza kwamba wakati atakapoufanya ulimwengu huu kutoweka na kisha kutupatia Mbingu na Nchi Mpya, basi atamfufua kila mwenye dhambi aliyewahi kuishi hapa duniani...
27

SURA YA 21-1. Mji Mtakatifu Unaoshuka Toka Mbinguni (Ufunuo 21:1-27)
Hili Neno lina maanisha kwamba Bwana Mungu wetu ataitoa Mbingu na Nchi Mpya kama zawadi kwa watakatifu walioshiriki katika ufufuo wa kwanza. Kuanzia wakati...
28

SURA YA 21-2. Ni Lazima Tuwe na Imani Iliyothibitishwa na Mungu
Mungu ametupatia Mbingu na Nchi Mpya. Mungu anatueleza kwamba kile unachokiona hivi sasa, yaani mbingu hii na nchi ya kwanza, pamoja na vitu vyake...
29

SURA YA 22-1. Mbingu na Nchi Mpya, Ambapo Maji ya Uzima Yanatiririka (Ufunuo 22:1-21)
Kifungu hiki kinaeleza kwamba Yohana alionyeshwa “mto safi wa maji ya uzima, wenye kung’aa kama bilauri.” Neno maji linatumika katika ulimwengu huu kama chanzo...
30

SURA YA 22-2. Uwe na Furaha na Thabiti Katika Tumaini la Utukufu
Ufunuo 22:6-21 inatuonyesha juu ya tumaini la Mbinguni. Sura ya 22, ambayo ni aya ya mwisho katika Kitabu cha Ufunuo, inashughulikia juu ya uthibitisho...