Ufunuo 22:6-21 inatuonyesha juu ya tumaini la Mbinguni. Sura ya 22, ambayo ni aya ya mwisho katika Kitabu cha Ufunuo, inashughulikia juu ya uthibitisho na uaminifu unabii wa Maandiko na juu ya mwaliko wa Mungu katika Yerusalemu Mpya. Sura hii inatueleza kwamba Yerusalemu Mpya ni zawadi ya Mungu iliyotolewa kwa watakatifu ambao wamezaliwa tena upya kwa kuamini katika injili ya maji na Roho.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Hili Neno lina maanisha kwamba Bwana Mungu wetu ataitoa Mbingu na Nchi Mpya kama zawadi kwa watakatifu walioshiriki katika ufufuo wa kwanza. Kuanzia wakati...
Katika sura iliyopita, tuliona jinsi ambavyo Mungu atakavyoyaleta mapigo yake ya kutisha katika ulimwengu huu. Katika sura hii, sasa tunamwona Kristo na jeshi lake...
Kile kitendo cha Mungu kumpatia malaika ufunguo wa shimo la kuzimu lisilo na mwisho maana yake ni kwamba aliamua kuleta pigo la kutisha kama...