Latest Episodes
13

SURA YA 14-1. Sifa za Wafia-dini Waliofufuka na Kunyakuliwa (Ufunuo 14:1-20)
Hii ni kuhusiana na watakatifu waliozaliwa tena upya, ambao walifufuliwa na kunyakuliwa baada ya kuuawa kama wafia-dini na Mpinga Kristo, wapo wakimsifu Bwana Mbinguni....
14

SURA YA 14-2. Watakatifu Wafanye Nini Mara Mpinga Kristo Atakapoonekana?
Ili kumshinda Mpinga Kristo mara atakapoonekana muda si mrefu toka sasa, basi imewapaswa watakatifu kujiandaa kuuawana kuifia-dini kwa imani yao katika Bwana. Ili kuweza...
15

SURA YA 15-1. Watakatifu Wanaoyasifia Matendo ya Bwana ya Kushangaza Angani (Ufunuo 15:1-8)
Sura ya 15 inatueleza juu ya mwisho wa ulimwengu utakaoletwa na mapigo ya mabakuli saba yatakayomiminwa na malaika saba. Je, hii “ishara nyingine katika...
16

SURA YA 15-2. Kituo cha Kugawa Hatma ya Milele
Sura ya 15 inaeleza juu ya mapigo ya mabakuli saba, ambayo yatamiminwa mara baada ya kunyakuliwa kwa watakatifu, mapigo hayo yatamiminwa juu ya wale...
17

SURA YA 16-1. Mwanzo wa Mapigo ya Mabakuli Saba (Ufunuo 16:1-21)
Mungu ataileta hasira yake juu ya watumishi wa Mpinga Kristo na watu wake wataokuwa wakiishi katika dunia hii kwa mapigo ya mabakuli saba ya...
18

SURA YA 16-2. Unachopaswa Kukifanya Kabla ya Kumiminwa Kwa Mabakuli Saba Ni…
Kati ya mapigo ya mabakuli saba, pigo la kwanza ni lile la majipu, pigo la pili ni lile la bahari kugeuka na kuwa damu,...