Komentare na Mahubiri Juu ya Kitabu cha Ufunuo - JE, NYAKATI ZA MPINGA KRISTO, KUFIA-DINI, KUNYAKULIWA NA UFALME WA MILENIA ZINAKUJA? (II)

Wakristo wengi siku hizi wanaiamini nadharia ya kunyukuliwa kabla ya dhiki. Kwa kuwa wanaiamini nadharia hii potofu, inayowaeleza kuwa watanyakuliwa kabla ya kuja kwa ile Dhiki Kuu ya miaka saba, ndio maana wanaendelea kuishi maisha ...more

Latest Episodes

19

January 14, 2023 00:24:20
Episode Cover

SURA YA 17-1. Hukumu ya Kahaba Akaaye Katika Maji Mengi (Ufunuo 17:1-18)

Ili kuweze kuitafsiri vizuri sura ya 17 ni muhimu sana kumfahamu huyu kahaba, mwanamke, na Mnyama anayetajwa katika kifungu kikuu. Huyu “kahaba” anayetajwa katika...

Listen

20

January 14, 2023 00:06:38
Episode Cover

SURA YA 17-2. Umakini Wetu Uzingatie Mapenzi ya Mungu

Ufunuo 17:1-5 inasema, “Akaja mmoja wa wale malaika saba, wenye vile vitasa saba, akanena nami, akisema, Njoo huku, nitakuonyesha hukumu ya yule kahaba mkuu...

Listen

21

January 14, 2023 00:24:45
Episode Cover

SURA YA 18-1. Ulimwengu wa Babeli Umeanguka (Ufunuo 18:1-24)

Watu wanaweza kusikia mahubiri juu ya baraka na laana za Mungu kwa kupitia watumishi ambao Mungu amewatuma hapa duniani ili kuzifanya kazi zake. Hivyo,...

Listen

22

January 14, 2023 00:14:39
Episode Cover

SURA YA 18-2. “Tokeni Kwake, Enyi Watu Wangu, Wala Msipokee Mapigo Yake”

Katika sura ya 18 Mungu anatueleza kwamba atauangamiza mji ule mkubwa wa Babeli kwa mapigo yake makuu. Hii ni kwa sababu zitakapofikia nyakati za...

Listen

23

January 14, 2023 00:23:28
Episode Cover

SURA YA 19-1. Ufalme Utakaomilikiwa Na Mwenyezi (Ufunuo 19:1-21)

Kifungu hiki kinawaelezea watakatifu wakimsifu Bwana Mungu wakati siku yao ya harusi na Mwana-kondoo ikikaribia. Bwana, Mungu wetu amewapatia watakatifu wokovu wao na utukufu,...

Listen

24

January 14, 2023 00:26:55
Episode Cover

SURA YA 19-2. Ni Wenye Haki Tu Ndio Wanaoweza Kusubiria Kurudi Kwa Kristo Katika Tumaini

Katika sura iliyopita, tuliona jinsi ambavyo Mungu atakavyoyaleta mapigo yake ya kutisha katika ulimwengu huu. Katika sura hii, sasa tunamwona Kristo na jeshi lake...

Listen