Komentare na Mahubiri Juu ya Kitabu cha Ufunuo - JE, NYAKATI ZA MPINGA KRISTO, KUFIA-DINI, KUNYAKULIWA NA UFALME WA MILENIA ZINAKUJA? (II)
Wakristo wengi siku hizi wanaiamini nadharia ya kunyukuliwa kabla ya dhiki. Kwa kuwa wanaiamini nadharia hii potofu, inayowaeleza kuwa watanyakuliwa kabla ya kuja kwa ile Dhiki Kuu ya miaka saba, ndio maana wanaendelea kuishi maisha ...more