Kifungu hiki kinaeleza kwamba Yohana alionyeshwa “mto safi wa maji ya uzima, wenye kung’aa kama bilauri.” Neno maji linatumika katika ulimwengu huu kama chanzo cha uhai na uzima. Aya hii inatueleza kwamba maji haya ya uzima yanatiririka katika Mbingu na Nchi Mpya mahali ambako watakatifu wataishi milele. Hali ukitiririka toka katika kiti cha enzi cha Mwana-kondoo, mto wa maji ya uzima unaulowanisha Ufalme wa Mbinguni na uvifanya vitu vyote kuwa vipya. Na katika hii sentensi inayosema, “kiti cha enzi cha Mwana-Kondoo,” neno “Mwana-Kondoo” ina maanisha ni Yesu Kristo, ambaye amewaokoa wanadamu kwa injili ya maji na Roho wakati alipokuwa hapa duniani.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Kwa nini Mungu aliwatuma manabii wawili kwenda kwa watu wa Israeli? Mungu alifanya hivyo ili hasahasa kuwaokoa watu wa Israeli. Kifungu kikuu kinatueleza kwamba...
Bwana Mungu wetu atawapatia watakatifu thawabu ya Ufalme wa Kristo kwa miaka elfu moja, atafanya hivyo kuwafidia kwa kazi waliyoifanya kwa ajili ya injili....
Kati ya mapigo ya mabakuli saba, pigo la kwanza ni lile la majipu, pigo la pili ni lile la bahari kugeuka na kuwa damu,...