Latest Episodes
7

SURA YA 11-1. Mizeituni Miwili na Manabii Wawili ni Akina Nani? (Ufunuo 11:1-19)
Neno la Ufunuo 11 ni la muhimu sana kwetu, ni muhimu kama lilivyo Neno lote la Mungu. Ili Mungu aweze kuuangamiza ulimwengu, basi kuna...
8

SURA YA 11-2. Wokovu wa Watu wa Israeli
Kwa nini Mungu aliwatuma manabii wawili kwenda kwa watu wa Israeli? Mungu alifanya hivyo ili hasahasa kuwaokoa watu wa Israeli. Kifungu kikuu kinatueleza kwamba...
9

SURA YA 12-1. Kanisa la Mungu Ambalo Litadhuriwa Sana Hapo Baadaye (Ufunuo 12:1-17)
Hii inatueleza juu ya Kanisa la Mungu likimpatia Mungu utukufu kwa kupitia kifo cha kuifia-dini. “Mwanamke aliyevikwa jua” ana maanisha ni Kanisa la Mungu...
10

SURA YA 12-2. Pokea Kuuawa kwa Kuifia-Dini Kwa Imani Thabiti
Sura ya 12 inatuonyesha jinsi ambavyo Kanisa la Mungu litakabiliana na dhiki ya nyakati za mwisho. Aya ya 1 inasema, “Na ishara kuu ilionekana...
11

SURA YA 13-1. Kutokea Kwa Mpinga Kristo (Ufunuo 13:1-18)
Mtume Yohana alimwona mnyama akitoka katika bahari. Mungu anatuonyesha sisi kile ambacho Mpinga Kristo atakifanya mara atakapotokea hapa duniani kwa kupitia Mnyama huyu ambaye...
12

SURA YA 13-2. Kuonekana Kwa Mpinga Kristo
Kwa kuzingatia kifungu kikuu hapo juu, sasa nitajadili juu ya kuonekana kwa Mpinga Kristo na mauaji ya wafia-dini. Kuanzia sura ya 13 tunamwona Mnyama...