Hili Neno lina maanisha kwamba Bwana Mungu wetu ataitoa Mbingu na Nchi Mpya kama zawadi kwa watakatifu walioshiriki katika ufufuo wa kwanza. Kuanzia wakati huo, watakatifu hawataishi katika mbingu na nchi ya kwanza, bali wataishi katika mbingu na nchi ya pili. Baraka hii ni zawadi ya Mungu ambayo ataitoa kwa watakatifu wake. Mungu ataitoa baraka ya jinsi hiyo kwa watakatifu tu ambao wameshiriki katika ufufuo wa kwanza.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Bwana Mungu wetu atawapatia watakatifu thawabu ya Ufalme wa Kristo kwa miaka elfu moja, atafanya hivyo kuwafidia kwa kazi waliyoifanya kwa ajili ya injili....
Mungu ataileta hasira yake juu ya watumishi wa Mpinga Kristo na watu wake wataokuwa wakiishi katika dunia hii kwa mapigo ya mabakuli saba ya...
Sura ya 15 inatueleza juu ya mwisho wa ulimwengu utakaoletwa na mapigo ya mabakuli saba yatakayomiminwa na malaika saba. Je, hii “ishara nyingine katika...