Katika sura ya 18 Mungu anatueleza kwamba atauangamiza mji ule mkubwa wa Babeli kwa mapigo yake makuu. Hii ni kwa sababu zitakapofikia nyakati za mwisho ulimwengu huu utakuwa umegeuka na kuwa mchafu na wenye dhambi sana mbele ya macho ya Mungu, na kwa kuwa Mungu hatakuwa na uamuzi mwingine zaidi ya kuuangamiza ulimwengu pamoja na kuwa aliuumba yeye mwenyewe, basi Mungu atayaruhusu mapigo makubwa ambayo yatauhitimisha ulimwengu. Hivyo, ulimwengu huu utafanywa ukiwa hadi pale utakapokuwa umeharibiwa kabisa.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Kwa kuzingatia kifungu kikuu hapo juu, sasa nitajadili juu ya kuonekana kwa Mpinga Kristo na mauaji ya wafia-dini. Kuanzia sura ya 13 tunamwona Mnyama...
Sura ya 12 inatuonyesha jinsi ambavyo Kanisa la Mungu litakabiliana na dhiki ya nyakati za mwisho. Aya ya 1 inasema, “Na ishara kuu ilionekana...
Kifungu hiki kinaeleza kwamba Yohana alionyeshwa “mto safi wa maji ya uzima, wenye kung’aa kama bilauri.” Neno maji linatumika katika ulimwengu huu kama chanzo...