Watu wanaweza kusikia mahubiri juu ya baraka na laana za Mungu kwa kupitia watumishi ambao Mungu amewatuma hapa duniani ili kuzifanya kazi zake. Hivyo, ili muweze kuwekwa huru toka katika dhambi zenu zote na hali ya kutokuwa na furaha, ninyi nyote mnapaswa kulipokea katika mioyo yenu na kuliamini Neno la baraka ya kiroho ya Mbinguni linalohubiriwa na watumishi wa Mungu.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Mungu ametupatia Mbingu na Nchi Mpya. Mungu anatueleza kwamba kile unachokiona hivi sasa, yaani mbingu hii na nchi ya kwanza, pamoja na vitu vyake...
Katika sura ya 18 Mungu anatueleza kwamba atauangamiza mji ule mkubwa wa Babeli kwa mapigo yake makuu. Hii ni kwa sababu zitakapofikia nyakati za...
Mtume Yohana alimwona mnyama akitoka katika bahari. Mungu anatuonyesha sisi kile ambacho Mpinga Kristo atakifanya mara atakapotokea hapa duniani kwa kupitia Mnyama huyu ambaye...