Katika sura iliyopita, tuliona jinsi ambavyo Mungu atakavyoyaleta mapigo yake ya kutisha katika ulimwengu huu. Katika sura hii, sasa tunamwona Kristo na jeshi lake lenye utukufu likipigana na kulishinda jeshi la Mpinga Kristo, na kisha kumtupa Mnyama na watumishi wake katika ziwa la moto hali wakiwa hai, huku wakiua jeshi la Mpinga Kristo lililosalia kwa upanga wa Neno utokao katika kinywa cha Bwana, na hivyo kuhitimisha vita vyake dhidi ya shetani.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Ufunuo 22:6-21 inatuonyesha juu ya tumaini la Mbinguni. Sura ya 22, ambayo ni aya ya mwisho katika Kitabu cha Ufunuo, inashughulikia juu ya uthibitisho...
Kati ya mapigo ya mabakuli saba, pigo la kwanza ni lile la majipu, pigo la pili ni lile la bahari kugeuka na kuwa damu,...
Mungu ataileta hasira yake juu ya watumishi wa Mpinga Kristo na watu wake wataokuwa wakiishi katika dunia hii kwa mapigo ya mabakuli saba ya...