Kifungu hiki kinawaelezea watakatifu wakimsifu Bwana Mungu wakati siku yao ya harusi na Mwana-kondoo ikikaribia. Bwana, Mungu wetu amewapatia watakatifu wokovu wao na utukufu, ili kwamba waweze kumsifu Bwana kwa nia njema. Watakatifu walionyakuliwa angani wataendelea kumsifu Bwana Mungu, kwa kuwa neema zake ni kuu kwa kuwakomboa toka katika dhambi zao zote na adhabu ya dhambi hizo isiyokwepeka.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Hebu sasa tuangalie juu ya ni lini unyakuo utatokea. Kuna vifungu vingi katika Biblia vinavyozungumzia kuhusu unyakuo. Agano Jipya lina vifungu vingi vinavyozungumzia mada...
Maswali & Majibu
Mtume Yohana alimwona mnyama akitoka katika bahari. Mungu anatuonyesha sisi kile ambacho Mpinga Kristo atakifanya mara atakapotokea hapa duniani kwa kupitia Mnyama huyu ambaye...