Ili kumshinda Mpinga Kristo mara atakapoonekana muda si mrefu toka sasa, basi imewapaswa watakatifu kujiandaa kuuawana kuifia-dini kwa imani yao katika Bwana. Ili kuweza kufanya hivyo, ni lazima wafahamu vizuri kuhusu mipango miovu ambayo Mpinga Kristo ataileta hapa duniani. Ni baada ya kuifahami mipango hiyo ndipo watakatifu watakapoweza kusimama kinyume naye na kumshinda kwa imani. Shetani atajaribu kuziangamiza imani za Wakristo kwa kuwafanya watu waipokee alama ya jina lake au namba yake.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Kati ya mapigo ya mabakuli saba, pigo la kwanza ni lile la majipu, pigo la pili ni lile la bahari kugeuka na kuwa damu,...
Sura ya 15 inaeleza juu ya mapigo ya mabakuli saba, ambayo yatamiminwa mara baada ya kunyakuliwa kwa watakatifu, mapigo hayo yatamiminwa juu ya wale...
Katika sura ya 18 Mungu anatueleza kwamba atauangamiza mji ule mkubwa wa Babeli kwa mapigo yake makuu. Hii ni kwa sababu zitakapofikia nyakati za...