Sura ya 15 inatueleza juu ya mwisho wa ulimwengu utakaoletwa na mapigo ya mabakuli saba yatakayomiminwa na malaika saba. Je, hii “ishara nyingine katika mbingu, iliyo kubwa, na ya ajabu,” ambayo Mtume Yohana aliiona ni nini? Ni mwonekano wa kushangaza wa watakatifu wakiwa wamesimama katika bahari ya kioo huku wakizisifia kazi za Bwana.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Ufunuo 22:6-21 inatuonyesha juu ya tumaini la Mbinguni. Sura ya 22, ambayo ni aya ya mwisho katika Kitabu cha Ufunuo, inashughulikia juu ya uthibitisho...
Hebu sasa tuangalie juu ya ni lini unyakuo utatokea. Kuna vifungu vingi katika Biblia vinavyozungumzia kuhusu unyakuo. Agano Jipya lina vifungu vingi vinavyozungumzia mada...
Ufunuo 8 inaeleza juu ya mapigo ambayo Mungu atayaleta juu ya dunia hii. Moja kati ya maswali ya msingi hapa ni kwamba watakatifu watahusishwa...