Hii ni kuhusiana na watakatifu waliozaliwa tena upya, ambao walifufuliwa na kunyakuliwa baada ya kuuawa kama wafia-dini na Mpinga Kristo, wapo wakimsifu Bwana Mbinguni. Watakatifu waliouawa na Mpinga Kristo kama wafia-dini na watakatifu waliokufa hapo kabla sasa watakuwa Mbinguni, huku wakimsifu Bwana kwa wimbo mpya. Katika aya ya 4 tunaona kwamba watu 144,000 waliimba wimbo huu mpya. Sasa unaweza kushangaa, kwamba watakatifu wanaweza kuwa ni hao watu 144,000 tu. Lakini namba 14 ina maanisha kwamba mambo yote yamebadilika (Mathayo 1:17).
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Kile kitendo cha Mungu kumpatia malaika ufunguo wa shimo la kuzimu lisilo na mwisho maana yake ni kwamba aliamua kuleta pigo la kutisha kama...
Watu wanaweza kusikia mahubiri juu ya baraka na laana za Mungu kwa kupitia watumishi ambao Mungu amewatuma hapa duniani ili kuzifanya kazi zake. Hivyo,...
Mungu ataileta hasira yake juu ya watumishi wa Mpinga Kristo na watu wake wataokuwa wakiishi katika dunia hii kwa mapigo ya mabakuli saba ya...