Kwa nini Mungu aliwatuma manabii wawili kwenda kwa watu wa Israeli? Mungu alifanya hivyo ili hasahasa kuwaokoa watu wa Israeli. Kifungu kikuu kinatueleza kwamba Mungu atawafanya mashahidi wake wawili kutabiri kwa siku 1,260. Hii inalenga kuwaokoa Waisraeli kwa mara ya mwisho. Kule kusema kwamba Mungu atawaokoa watu wa Israeli kuna maanisha pia kwamba wakati huo mwisho wa dunia utakuwa umefika.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Sura ya 12 inatuonyesha jinsi ambavyo Kanisa la Mungu litakabiliana na dhiki ya nyakati za mwisho. Aya ya 1 inasema, “Na ishara kuu ilionekana...
Ufunuo 8 inaeleza juu ya mapigo ambayo Mungu atayaleta juu ya dunia hii. Moja kati ya maswali ya msingi hapa ni kwamba watakatifu watahusishwa...
Msingi wa sura hii unapatikana katika aya ya 7: “isipokuwa katika siku za sauti ya malaika wa saba atakapokuwa tayari kupiga baragumu; hapo ndipo...